Yoram | Meta Ads Lab
3:49
Private
1 member
$15/month
Umechoka kupoteza pesa kwenye Facebook & Instagram Ads bila MAUZO licha ya kuwekeza PESA, NGUVU na MUDA? Kama uko serious kubadilisha matokeo yako, karibu!
Hii ni community ya kujifunza Meta Ads A–Z, pamoja na mafunzo ya kipekee yasiyopatikana YouTube au kwenye content zangu nyingine.
Kwa nini ujifunze hapa?
🏆 Nimetumia TZS 80M+ kwenye matangazo na kuuza TZS 400M+ kupitia Meta Ads.
🏆 Jifunze FEATURES na UPDATES mpya mapema.
🏆 Mamia ya biashara zimeamini utaalamu wangu kuongeza mauzo.
Utajifunza jinsi ya:
✅ Kutengeneza matangazo yenye mvuto.
✅ Kuandika Ad Copy inayoshawishi wateja kununua.
✅ Kufanya testing kwa mfumo.
✅ Kuongeza bajeti na kukuza matokeo kwa ujasiri.
Utapata pia:
📚 Video 30+ katika moduli 8, Beginner hadi Advanced.
📝 Miongozo ya hatua kwa hatua na maswali ya kupima uelewa.
🎯 Live Q&A kila wiki na majibu yangu kwenye post zako.
💰 Jiunge kwa $15/mwezi.
🔒 Funga bei yako ya sasa LIFETIME.
❌ Cancel wakati wowote.
👉 Jiunge leo, pata leads nyingi, ongeza mauzo na kukuza faida!
powered by
Yoram | Meta Ads Lab
skool.com/yoram-meta-ads-lab-7999
The #1 Swahili super place to master Meta ads, Super Exclusive Training, Weekly Q&A sessions and direct access to Yoram Element